Revelation of John 19:10

10 aNdipo nikaanguka kifudifudi miguuni pake ili kumwabudu, lakini yeye akaniambia, “Usifanye hivyo! Mimi pia ni mtumishi mwenzako pamoja na ndugu zako walio na ushuhuda wa Isa. Mwabudu Mungu! Maana ushuhuda wa Isa ndio roho ya unabii.”

Aliyepanda Farasi Mweupe

Copyright information for SwhKC